-
Hesabu 10:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “Jitengenezee tarumbeta mbili+ za fedha; zitengeneze kwa kutumia nyundo, nawe uzitumie kuwakusanya watu na kuvunja kambi.
-
-
Hesabu 10:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 “Ikiwa maadui wanaowakandamiza watawashambulia katika nchi yenu, mnapaswa kupiga mwito wa vita kwa tarumbeta hizo,+ na Yehova Mungu wenu atawakumbuka na kuwaokoa kutoka kwa maadui wenu.
-