Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 5:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 “Waamuru Waisraeli wamtoe nje ya kambi kila mtu mwenye ukoma+ na kila mtu anayetokwa na umajimaji+ na kila mtu aliyejichafua kwa kumgusa mtu aliyekufa.*+

  • Hesabu 19:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Mtu yeyote anayemgusa mtu aliyekufa* hatakuwa safi kwa siku saba.+

  • Hesabu 19:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Kila mtu aliye uwanjani anayemgusa mtu aliyeuawa kwa upanga au maiti au mfupa wa mtu au kaburi hatakuwa safi kwa siku saba.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki