-
Hesabu 21:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Kwa maana Heshboni lilikuwa jiji la Sihoni, mfalme wa Waamori ambaye alikuwa amepigana na mfalme wa Moabu na kuchukua nchi yake yote mpaka Arnoni.
-