Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 13:32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 Nao wakaendelea kuwapa Waisraeli habari mbaya+ kuhusu nchi waliyoipeleleza, wakisema: “Nchi tuliyoenda kuipeleleza ni nchi inayowameza wakaaji wake, na watu wote tuliowaona huko ni wakubwa isivyo kawaida.+

  • Kumbukumbu la Torati 1:26-28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Lakini mlikataa kupanda kwenda huko, nanyi mkaliasi agizo la Yehova Mungu wenu.+ 27 Mliendelea kunung’unika katika mahema yenu na kusema, ‘Yehova alituchukia ndiyo sababu alitutoa katika nchi ya Misri ili atutie mikononi mwa Waamori watuangamize. 28 Tunaenda mahali pa aina gani? Ndugu zetu walituvunja moyo*+ waliposema, “Watu hao wana nguvu zaidi na ni warefu zaidi kuliko sisi, na majiji yao ni makubwa na yana ngome zinazofika mbinguni,*+ na huko tuliwaona wana wa Waanaki.”’+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki