Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Kumbukumbu la Torati 1:34-38
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 “Wakati huo wote Yehova alisikia mambo mliyokuwa mkisema, akakasirika na kuapa hivi:+ 35 ‘Hakuna mtu hata mmoja wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kwamba nitawapa baba zenu,+ 36 isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune. Yeye ataiona, nami nitampa yeye na wanawe nchi hiyo aliyoikanyaga kwa miguu yake, kwa sababu amenifuata mimi Yehova kwa moyo wote.*+ 37 (Yehova alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, “Wewe pia hutaingia humo.+ 38 Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wako,*+ ndiye atakayeingia katika nchi hiyo.+ Mwimarishe,*+ kwa maana atawawezesha Waisraeli kuirithi nchi hiyo.”)

  • Yoshua 14:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Ingawa ndugu zangu walioenda pamoja nami waliwavunja watu moyo,* mimi nilimfuata Yehova Mungu wangu kwa moyo wote.*+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki