Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 26:63, 64
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 63 Hao ndio walioandikishwa na Musa na kuhani Eleazari walipowaandikisha Waisraeli katika jangwa tambarare la Moabu karibu na Yordani huko Yeriko. 64 Lakini hakuna hata mmoja wao aliyeandikishwa na Musa na kuhani Haruni wakati walipowahesabu Waisraeli katika nyika ya Sinai.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Tulitembea kwa miaka 38 kutoka Kadesh-barnea mpaka tulipovuka Bonde la Zeredi, mpaka kizazi chote cha wanaume wa vita kilipoangamia kutoka kambini, kama Yehova alivyokuwa amewaapia.+

  • 1 Wakorintho 10:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Hata hivyo, Mungu hakupendezwa na wengi wao, kwa maana waliangamizwa nyikani.+

  • Waebrania 3:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Zaidi ya hayo, Mungu alichukizwa na akina nani kwa miaka 40?+ Je, si wale waliotenda dhambi, ambao maiti zao zilianguka nyikani?+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki