Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 22:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Na Yehova Mungu wenu amewapumzisha ndugu zenu kama alivyowaahidi.+ Basi sasa rudini kwenye mahema yenu katika nchi ambayo Musa mtumishi wa Yehova aliwapa ng’ambo ya* Yordani.+

  • Yoshua 22:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Kisha watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase wakawaacha Waisraeli wengine huko Shilo katika nchi ya Kanaani, wakarudi Gileadi,+ nchi yao ya urithi waliyokuwa wakiimiliki kama Yehova alivyowaagiza kupitia Musa.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki