-
Kumbukumbu la Torati 3:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kisha nusu ya kabila la Manase+ nimewapa sehemu inayobaki ya Gileadi na eneo lote la Bashani la ufalme wa Ogu. Eneo lote la Argobu, la Bashani, lilijulikana kuwa nchi ya Warefaimu.
-