-
Kutoka 13:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Kwa hiyo Mungu akawafanya wazunguke kupitia njia ya nyikani inayoelekea kwenye Bahari Nyekundu.+ Lakini Waisraeli waliondoka katika nchi ya Misri wakiwa wamejipanga kivita.
-