-
Mwanzo 47:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Basi Yosefu akawapa makao baba yake na ndugu zake, aliwapa miliki katika nchi ya Misri, katika sehemu bora kabisa ya nchi, katika eneo la Ramesesi,+ kama Farao alivyoamuru.
-