-
Kumbukumbu la Torati 3:12, 13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Wakati huo tulimiliki nchi hii: kuanzia Aroeri,+ karibu na Bonde* la Arnoni, na nusu ya eneo lenye milima la Gileadi, na majiji yake nimewapa watu wa kabila la Rubeni na kabila la Gadi.+ 13 Kisha nusu ya kabila la Manase+ nimewapa sehemu inayobaki ya Gileadi na eneo lote la Bashani la ufalme wa Ogu. Eneo lote la Argobu, la Bashani, lilijulikana kuwa nchi ya Warefaimu.
-
-
Yoshua 13:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Nusu iliyobaki ya kabila la Manase, pamoja na watu wa kabila la Rubeni na Gadi walichukua urithi wao waliopewa na Musa upande wa mashariki wa Yordani, kama tu Musa mtumishi wa Yehova alivyowapa:+
-