-
Hesabu 32:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Wakaendelea kusema, “Ikiwa sisi watumishi wenu tumepata kibali machoni penu, tupeni maeneo haya tuyamiliki. Msituvushe ng’ambo ya Mto Yordani.”
-
-
Hesabu 32:32Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
32 Tutachukua silaha na kuvuka mbele za Yehova kuingia nchi ya Kanaani,+ lakini urithi wetu utakuwa upande huu wa Yordani.”
-