Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:38
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 38 Lakini Yoshua mwana wa Nuni na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwa wanaume walioenda kuipeleleza nchi, ndio watakaoendelea kuishi.”’”+

  • Hesabu 27:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Kwa hiyo Yehova akamwambia Musa: “Mchukue Yoshua mwana wa Nuni, mwanamume aliye na roho,* na uweke mikono yako juu yake.+

  • Yoshua 19:51
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 51 Huo ndio urithi ambao kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa koo* za makabila ya Waisraeli waligawanya+ kwa kura kule Shilo+ mbele za Yehova, kwenye mlango wa hema la mkutano.+ Basi wakamaliza kuigawanya nchi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki