-
Kutoka 26:31Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
31 “Utatengeneza pazia+ la nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa. Utalitarizi kwa michoro ya makerubi.
-