-
Kutoka 12:49Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
49 Sheria ileile itafuatwa na mwenyeji na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”+
-
-
Hesabu 15:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Ninyi na mgeni anayeishi miongoni mwenu mtafuata sheria zilezile na amri zilezile.’”*
-