Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Majiji hayo yatakuwa mahali penu pa kukimbilia kutoka kwa mtu anayelipiza kisasi cha damu,+ ili muuaji asiuawe kabla ya kesi yake kusikilizwa mbele ya kusanyiko.+

  • Yoshua 20:4, 5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Ni lazima akimbilie mojawapo ya majiji hayo+ na kusimama langoni,+ kisha atawaambia wazee wa jiji hilo kesi yake. Nao lazima wampokee jijini na kumpa makao, naye ataishi pamoja nao. 5 Na yule anayetaka kulipiza kisasi cha damu akimfuatia, wazee hawapaswi kumtia muuaji huyo mikononi mwake, kwa maana alimuua mwenzake bila kukusudia,* wala hakuwa akimchukia.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki