-
Mambo ya Walawi 6:4, 5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ikiwa ametenda dhambi naye ana hatia, ni lazima arudishe kitu alichoiba, kitu alichochukua kwa nguvu, kitu alichochukua kwa ulaghai, kitu alichokabidhiwa atunze, au kitu kilichopotea akakipata, 5 au chochote alichoapia kwa uwongo, ni lazima alipe kitu hicho kikamili+ na kuongeza sehemu ya tano ya thamani yake. Atamrudishia mwenyewe kitu hicho siku ambayo hatia yake itajulikana.
-