-
2 Mambo ya Nyakati 7:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Mfalme Sulemani alitoa ng’ombe 22,000 na kondoo 120,000 kuwa dhabihu. Basi mfalme na watu wote wakaizindua nyumba ya Mungu wa kweli.+
-