-
Mambo ya Walawi 4:22, 23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “‘Ikiwa mkuu+ ametenda dhambi bila kukusudia na hivyo ana hatia ya kufanya jambo lolote ambalo Yehova Mungu wake ameamuru lisifanywe, 23 au akigundua dhambi aliyotenda kinyume cha amri, basi anapaswa kumleta mwanambuzi dume asiye na kasoro ili atolewe dhabihu kwa ajili yake.
-