-
Hesabu 19:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 “‘Hii ndiyo sheria kuhusu mtu anayefia ndani ya hema: Kila mtu anayeingia katika hema hilo na kila mtu aliyekuwa ndani ya hema hilo wakati huo, hatakuwa safi kwa siku saba.
-
-
Hesabu 19:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Kila mtu aliye uwanjani anayemgusa mtu aliyeuawa kwa upanga au maiti au mfupa wa mtu au kaburi hatakuwa safi kwa siku saba.+
-