-
Kutoka 12:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Hampaswi kuhifadhi sehemu yoyote ya nyama hiyo mpaka asubuhi, lakini sehemu yoyote itakayobaki mpaka asubuhi mnapaswa kuiteketeza kwa moto.+
-