Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:19
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 Kwa siku saba, unga uliokandwa ambao umetiwa chachu usipatikane ndani ya nyumba zenu, kwa sababu yeyote akila kitu kilichotiwa chachu, awe ni mgeni au mwenyeji wa nchi,+ mtu huyo lazima auawe kutoka katika kusanyiko la Israeli.+

  • Kutoka 12:48
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 48 Ikiwa mgeni anaishi pamoja nawe, naye anataka kusherehekea Pasaka ya Yehova, ni lazima kila mwanamume wa familia yake atahiriwe. Kisha anaweza kukaribia ili kuisherehekea, naye atakuwa kama mwenyeji wa nchi. Lakini mwanamume yeyote ambaye hajatahiriwa hapaswi kuila Pasaka.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki