Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 18:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Lakini unapaswa kuchagua miongoni mwa watu, wanaume wanaostahili,+ wanaomwogopa Mungu, wanaume wanaotegemeka, wanaochukia faida isiyo ya haki,+ nawe uwaweke kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, na wakuu wa makumi.+

  • Hesabu 1:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Hao ndio waliochaguliwa miongoni mwa Waisraeli. Hao ndio wakuu+ wa makabila ya baba zao, viongozi wa maelfu katika Israeli.”+

  • Hesabu 7:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 wakuu wa Israeli,+ viongozi wa koo zao,* wakaleta matoleo. Wakuu hao wa makabila waliosimamia kazi ya kuwaandikisha watu

  • Kumbukumbu la Torati 1:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Basi nikawachukua viongozi wa makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa viongozi wenu, wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, wakuu wa makumi, na maofisa wa makabila yenu.+

  • Kumbukumbu la Torati 5:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 “Lakini mara tu mliposikia sauti kutoka katika lile giza, mlima ulipokuwa ukiwaka moto,+ viongozi wote wa makabila yenu na wazee wakanijia.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki