-
Hesabu 13:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Walirudi kwa Musa, Haruni, na Waisraeli wote katika nyika ya Parani, huko Kadeshi.+ Wakawaletea habari Waisraeli wote na kuwaonyesha matunda ya nchi hiyo.
-
-
Kumbukumbu la Torati 1:1, 2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
1 Haya ndiyo maneno ambayo Musa aliwaambia Waisraeli wote walipokuwa nyikani katika eneo la Yordani, katika jangwa tambarare mbele ya Sufi, kati ya Parani, Tofeli, Labani, Haserothi, na Dizahabu. 2 Ni safari ya siku 11 kutoka Horebu mpaka Kadesh-barnea+ kupitia njia ya Mlima Seiri.
-