Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 1:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 “Mchukueni mwanamume mmoja kutoka katika kila kabila, kila mmoja wao anapaswa kuwa kiongozi wa ukoo wake.*+

  • Hesabu 1:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 wana wa Yosefu: kabila la Efraimu,+ Elishama mwana wa Amihudi; kabila la Manase, Gamalieli mwana wa Pedazuri;

  • Hesabu 2:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 “Kundi la makabila matatu katika kambi ya Efraimu litapiga kambi upande wa magharibi, kulingana na vikosi vyake;* mkuu wa wana wa Efraimu ni Elishama+ mwana wa Amihudi.

  • Hesabu 2:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 “Watu wote walioandikishwa katika majeshi ya kambi ya Efraimu ni 108,100, nao wanapaswa kuwa wa tatu kuondoka.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki