Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 13:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Sasa Yehova alikuwa akiwatangulia mchana katika nguzo ya wingu ili awaongoze njiani,+ na wakati wa usiku katika nguzo ya moto ili awape nuru, waweze kusafiri mchana na usiku.+

  • Nehemia 9:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Uliwaongoza mchana kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto, ili kuwaangazia njia waliyopaswa kupitia.+

  • Zaburi 78:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Aliwaongoza kwa wingu wakati wa mchana

      Na usiku kucha kwa mwangaza wa moto.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki