-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Siku ya pili, Nethaneli+ mwana wa Zuari, mkuu wa Isakari, alileta matoleo yake.
-
-
Hesabu 10:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Isakari alikuwa Nethaneli+ mwana wa Zuari.
-