-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Siku ya tatu, mkuu wa wana wa Zabuloni, Eliabu+ mwana wa Heloni,
-
-
Hesabu 10:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Zabuloni alikuwa Eliabu+ mwana wa Heloni.
-