-
Kutoka 17:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ndipo Musa akamwambia Yoshua:+ “Tuchagulie wanaume wakapigane na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilima, nikiwa na fimbo ya Mungu wa kweli mkononi mwangu.”
-