Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 9:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Wakateka majiji yenye ngome+ na ardhi yenye rutuba,*+ wakamiliki nyumba zilizojaa vitu vyema vya kila aina, visima ambavyo tayari vilikuwa vimechimbwa, mashamba ya mizabibu, mizeituni,+ na miti ya matunda kwa wingi. Hivyo wakala na kushiba na kunenepa, nao wakaufurahia wema wako mwingi.

  • Ezekieli 20:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Siku hiyo niliapa kwamba nitawatoa nchini Misri na kuwapeleka katika nchi niliyokuwa nimeichunguza* kwa ajili yao, nchi inayotiririka maziwa na asali.+ Nchi hiyo ilikuwa nzuri sana kuliko* nchi zote.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki