-
2 Samweli 10:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Nao Waamoni wakatoka na kujipanga kivita kwenye lango la jiji huku Wasiria wa Soba na wa Rehobu, pamoja na Ishtobu* na Maaka, wakiwa peke yao uwanjani.
-