Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Wakachukua baadhi ya matunda ya nchi hiyo na kutuletea, nao wakatuletea habari hii: ‘Nchi ambayo Yehova Mungu wetu anatupatia ni nzuri.’+

  • Kumbukumbu la Torati 8:7-9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Kwa maana Yehova Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri,+ nchi yenye vijito vya maji, mabubujiko na chemchemi zinazotiririka* katika bonde tambarare na katika eneo lenye milima, 8 nchi yenye ngano na shayiri, na mizabibu, mitini, na mikomamanga,+ nchi yenye mafuta ya zeituni na asali,+ 9 nchi ambayo haitakuwa na upungufu wa chakula na hamtakosa chochote, nchi yenye mawe yaliyo na chuma na katika milima yake mtachimba shaba.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki