-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:36Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
36 Siku ya tano, mkuu wa wana wa Simeoni, Shelumieli+ mwana wa Zurishadai,
-
-
Hesabu 10:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Simeoni alikuwa Shelumieli+ mwana wa Zurishadai.
-