-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:42Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
42 Siku ya sita, mkuu wa wana wa Gadi, Eliasafu+ mwana wa Deueli,
-
-
Hesabu 10:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Gadi alikuwa Eliasafu+ mwana wa Deueli.
-