Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 3:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Unapaswa kumweka rasmi Haruni na wanawe ili watekeleze majukumu yao ya ukuhani,+ na mtu yeyote asiye na idhini* atakayekaribia mahali patakatifu anapaswa kuuawa.”+

  • Hesabu 3:38
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 38 Musa na Haruni na wanawe walipiga kambi mbele ya hema la ibada upande wa mashariki, upande wa mapambazuko ya jua. Walikuwa na wajibu wa kutunza mahali patakatifu kwa niaba ya Waisraeli. Mtu yeyote asiye na idhini* ambaye angekaribia mahali patakatifu angeuawa.+

  • Hesabu 16:45
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 45 “Ninyi wanaume, jitengeni na kusanyiko hili ili niliangamize mara moja.”+ Ndipo Musa na Haruni wakaanguka chini kifudifudi.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki