-
Kumbukumbu la Torati 11:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 wala mambo aliyowatendea Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Rubeni, dunia ilipofunguka na kuwameza wao pamoja na familia zao na mahema yao na kila kiumbe aliye hai aliyewafuata, mbele ya macho ya Waisraeli wote.+
-
-
Zaburi 106:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Kisha dunia ikafunguka na kummeza Dathani
Na kuwafunika wale waliokusanyika pamoja na Abiramu.+
-