-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:54Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
54 Siku ya nane, mkuu wa wana wa Manase, Gamalieli+ mwana wa Pedazuri,
-
-
Hesabu 10:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Manase alikuwa Gamalieli+ mwana wa Pedazuri.
-