Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Sasa watu wakaanza kulalamika kwa uchungu mbele za Yehova. Yehova aliposikia malalamiko yao, alikasirika sana, na moto kutoka kwa Yehova ukaanza kuwateketeza na kuwaangamiza baadhi ya watu waliokuwa kandokando ya kambi.

  • Hesabu 14:27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 “Umati huu wa watu waovu utaendelea kuninung’unikia mpaka lini?+ Nimesikia manung’uniko ya Waisraeli juu yangu.+

  • Hesabu 16:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Kwa sababu hiyo, wewe na watu wote wanaokuunga mkono mnampinga Yehova. Haruni ni nani hivi kwamba mnung’unike kumhusu?”+

  • 1 Wakorintho 10:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1 Wakorintho 10:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Wala tusiwe wanung’unikaji,+ kama baadhi yao walivyonung’unika, wakaangamizwa na mwangamizaji.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki