-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 10:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Benjamini alikuwa Abidani+ mwana wa Gidioni.
-