-
Mambo ya Walawi 24:2, 3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “Waamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni zilizopondwa ili taa ziwake daima.+ 3 Katika hema la mkutano, nje ya pazia lililo karibu na sanduku la ushahidi, Haruni atahakikisha kwamba taa hizo zinawaka daima kuanzia jioni mpaka asubuhi mbele za Yehova. Hiyo ni sheria ya kudumu katika vizazi vyenu vyote.
-
-
Hesabu 3:32Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
32 Kiongozi wa wakuu wa Walawi alikuwa Eleazari+ mwana wa kuhani Haruni, naye aliwasimamia wale waliokuwa na majukumu ya kufanya kazi mahali patakatifu.
-