-
Hesabu 3:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Utawakabidhi Walawi kwa Haruni na wanawe. Ni watu waliokabidhiwa, ambao Haruni amekabidhiwa kutoka kati ya Waisraeli.+
-
-
Hesabu 8:15, 16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kisha Walawi wataingia ndani ya hema la mkutano ili kutumikia. Hivyo ndivyo unavyopaswa kuwatakasa na kuwatoa* kama toleo la kutikiswa. 16 Kwa maana wao ni watu waliokabidhiwa, niliokabidhiwa kutoka miongoni mwa Waisraeli. Nitawachukua hao kwa ajili yangu badala ya wazaliwa wote wa kwanza* wa Waisraeli.+
-