-
Hesabu 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yehova akamwambia Musa: “Kila siku, mkuu mmoja ataleta matoleo yake kwa ajili ya kuizindua madhabahu.”
-
-
Hesabu 7:78Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
78 Siku ya 12, mkuu wa wana wa Naftali, Ahira+ mwana wa Enani,
-
-
Hesabu 10:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Kiongozi wa kikosi cha kabila la wana wa Naftali alikuwa Ahira+ mwana wa Enani.
-