-
Kumbukumbu la Torati 4:47Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
47 Nao wakaimiliki nchi yake na nchi ya Mfalme Ogu+ wa Bashani, wafalme wawili wa Waamori waliokuwa katika eneo lililokuwa upande wa mashariki wa Yordani,
-
-
Yoshua 13:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Nusu iliyobaki ya kabila la Manase, pamoja na watu wa kabila la Rubeni na Gadi walichukua urithi wao waliopewa na Musa upande wa mashariki wa Yordani, kama tu Musa mtumishi wa Yehova alivyowapa:+
-