-
Kumbukumbu la Torati 3:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 “Kisha tuligeuka na kupanda kupitia njia ya Bashani. Ndipo Ogu, mfalme wa Bashani, akatoka pamoja na watu wake wote ili kupigana vita nasi kule Edrei.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 3:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 majiji yote yaliyokuwa katika nchi tambarare, nchi yote ya Gileadi, nchi yote ya Bashani mpaka Saleka na Edrei,+ majiji ya ufalme wa Ogu kule Bashani.
-