-
Kumbukumbu la Torati 3:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Basi Yehova Mungu wetu akamtia pia mikononi mwetu Mfalme Ogu wa Bashani pamoja na watu wake wote, nasi tukaendelea kumshambulia hivi kwamba hakuna mtu yeyote kati ya watu wake aliyeokoka.
-