-
Yoshua 24:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Kisha Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, akaja kupigana na Israeli. Basi akamwita Balaamu mwana wa Beori ili awalaani ninyi.+
-
-
Waamuzi 11:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Je, una nguvu kuliko Balaki+ mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli wala kupigana nao.
-