-
Hesabu 31:7, 8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Walipigana na Wamidiani, kama Yehova alivyomwamuru Musa, wakawaua wanaume wote. 8 Miongoni mwa watu waliouawa kulikuwepo wafalme watano wa Midiani, yaani, Evi, Rekemu, Suri, Huru, na Reba. Pia, walimuua kwa upanga Balaamu+ mwana wa Beori.
-
-
Yoshua 13:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Ndipo Musa akawapa urithi watu wa kabila la Rubeni kulingana na koo zao,
-