-
Hesabu 22:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Ndipo Balaamu akawaambia: “Laleni hapa usiku wa leo, nami nitawajulisha jambo lolote ambalo Yehova ataniambia.” Hivyo wakuu wa Moabu wakakaa na Balaamu.
-