-
Hesabu 22:41Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
41 Asubuhi Balaki akamchukua Balaamu na kwenda naye Bamoth-baali; akiwa huko aliweza kuwaona Waisraeli wote.+
-
-
Hesabu 23:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Kisha Balaamu akamwambia Balaki: “Jenga madhabahu saba mahali hapa,+ nawe unitayarishie ng’ombe dume saba na kondoo dume saba.”
-