-
Hesabu 22:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 Lakini malaika wa Yehova akamwambia Balaamu: “Nenda pamoja na wanaume hao, lakini utasema tu maneno nitakayokwambia.” Basi Balaamu akaendelea na safari pamoja na wakuu wa Balaki.
-
-
Hesabu 23:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Yehova akatia maneno haya katika kinywa cha Balaamu:+ “Rudi kwa Balaki, na hili ndilo utakalosema.”
-